Mudrick Apelekwa kwa Bi Ajue UsikuMudrick anaumwa ghafla, hali inayolazimu familia yake kumkimbiza kwa Bi Ajue usiku kwa ajili ya mafusho ya jadi.
Wakati huohuo, Mpunje nae hali imezidi kuwa tete, amwakumwangukia Bi Barke akiomba apewe kazi… lakini je, nini kipo nyuma ya kazi hii?