Vita imehamia ndani – The Wife I S1 I Ep 7-8 I Maisha Magic Bongo
Video
21 Mei
Ugomvi waibuka kati ya ndugu wawili kisa penzi la Hlomu, kila mmoja akihisi ndo anahaki ya kuwa nae, na dokta nae bado hajachoka anataka maelezo kutoka kwa Hlomu kwanini ameamua kuvunja penzi lao.