Abby aibiwa simu uswahili I Huba I Season 14 I Maisha Magic Bongo
Video
15 Mei
Abby aliamua kwenda mtaani – lakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia! Akiwa anazunguka mitaa ya uswahilini, anavamiwa ghafla na kuibiwa simu yake. Je, tukio hili litabadilisha mtazamo wake kuhusu maisha halisi ya mtaani?