Tamthilia hii inahusu mapenzi, pesa, tamaa na uchawi. Dunia mbili tofauti zinapokutana moja kudhibitiwa na fedha na nyengine ikifunikwa na uchoyo, mapenzi yanatoa matumaini ya kuishi.
S14 | E36
09 Juni 21:00
'S14/E36'. Kifo cha Dev chazua sintofahamu, mrithi wake ni nani? Mkewe, wanawe, au dada asiyejulikana awali? Mali huacha...