channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Nicole Ataka Msaada wa Abby Kumkabili Kibibi! – Huba

Video
31 Julai

Nicole anaingiwa na hofu kubwa baada ya kugundua kilichojificha nyuma ya kibibi – anamhitaji Abby kumsaidia kukabiliana naye. Wakati huohuo, Nelly anaanza kuvutiwa na Ray… lakini mambo yanachukua mkondo wa kutisha pale Ray anapomtaka Abby kimabavu, huku simu ya Nicole ikipiga bila majibu. Je, Abby ataweza kusimama imara?