Wanamajoola Waibukia Msibani kwa Zulu Brothers! – The Wife
Video
28 Julai
Wanamajoola wanafika kwenye msiba wa familia ya Zulu, hali inakuwa ya majonzi na msisimko.
Je, msiba huu utazua amani au utachochea moto wa kisasi kati ya familia hizi mbili?
Usikose drama kali ya The Wife!