channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Migogoro ya kazi na kutambulishwa kwa familia – Huba

Video
05 Juni

Rita kajichanganya kwenye kikao na kumtolea mfano Chidi– hali iliyomfanya Chidi kuondoka kwa hasira. Wakati huohuo, Abby anampeleka Ray kwa JB na mkewe Nelly kwa mara ya kwanza, lakini kuna hali ya mashaka kutoka kwa Nelly. Je, Ray anakaribishwa kweli au kuna jambo linaanza kunuka?