Maingizo mapya – Huba I S14 I Ep 30-32 I Maisha Magic Bongo
Video
29 Mei
Vikao vya familia baada ya mirathi sasa vinaendelea kujadiliana namna ya kulipa madeni ya marehemu. Ray nakutamana na Abby baada ya kutoka jela na kuanza kumuuliza maswali magumu