maisha magic bongo logo

Nguzu anataka kuongeza mke mwengine, Wake zake wamgomea – Mpali I S5 I Ep 170 I Maisha Magic Bongo

Video
22 Mei

Nguzu akiwa tayari ameshavalia suti yake kwa ajili ya kufunga ndoa, lakini anakutana na upinzani mkali kutoka kwa wake zake ambao wanahakisha kuwa hakuna ndoa inayofungwa.