Moto ndani ya Kasri la Bi Barke – Jivu I S1 I Ep 13-14 I Maisha Magic Bongo
Video
06 Juni
Fahad anakasirishwa na taarifa za mkewe kuchelewa kurudi nyumbani, anamuuliza kwa hasira kali na kuambiwa kujibiwa kuwa amechelewa kwenye foleni, Huku kwengine Kawia na kaka ake wanashikana mashati kisa mama yao kufanya kazi kwa Bi Barke.