maisha magic bongo logo
kapuni
maisha magic bongo logo

Kapuni

160DramaPG13

Samabaza jina

Uchungu wa mapenzi – Kapuni

00:04:43
Robert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.John amegoma kazi.
Uchungu wa mapenzi – Kapuni Image : 1068

Vipindi Zaidi

Tamthilia Zetu on Maisha Magic Bongo

Vita Kila Kona  Abby Vs Ray na Tima Vs Kibibi – HUBA Image : 2239
Mqhele Aomba Msamaha – The Wife Image : 2231
Mqhele Aomba Msamaha – The WifeBaada ya sintofahamu na hasira zilizompelekea Mqhele kumpiga Hlomu, sasa amegundua kosa lake na kuamua kuomba msamaha. Lakini je, msamaha wake unatosha kurejesha imani ya Hlomu? Ni wakati wa kutafakari, kusamehe... au kuondoka?
Vita ya Mpungwe na Mchuma – JIVU Image : 2230
Vita ya Mpungwe na Mchuma – JIVUMpungwe anacharuka baada ya kugundua kuwa Mchuma amempa ujauzito dada yake Ajuaje – ugomvi mkubwa wazuka kati yao. Wakati huo huo, Chema anazidi kuvunjika moyo akimuona mumewe, Mzee Amanzi, akipoteza fahamu na kupooza. Hali ni tete, hisia ni nzito. Endelea kufuatilia JIVU ndani ya Maisha Magic Bongo!
Wake wa Mzee Nguzu Wakijaribu Kutoroka – Mpali Image : 2229
Wake wa Mzee Nguzu Wakijaribu Kutoroka – MpaliWake wa Mzee Nguzu wanajitahidi kutoroka kutoka kwenye hatari inayowakabili, lakini hali bado ni tete na hatari haijaisha! Je, mipango ya kuwakomboa wake hao itafanikiwa? Tazama harakati hizi kali na mzozo wa nguvu ndani ya Mpali S6 Ep 9-12, kwenye Maisha Magic Bongo!
ima Anatafuta Watoto Wake – Huba Image : 2228
ima Anatafuta Watoto Wake – Hubaima yuko njia panda – hamu yake ya kuwapata watoto wake inampeleka kwa Ritha, akimdai majibu. Lakini mambo yanazidi kuwa moto anapojikuta akitaka kumvamia Kibibi kwa hasira. Je, juhudi zake zitazaa matunda au zitamsukuma zaidi katika machungu? Usikose Huba ndani ya Maisha Magic Bongo!
Hlomu na Mimba ya Mqhele na Kichapo Juu – The Wife Image : 2224
Hlomu na Mimba ya Mqhele na Kichapo Juu – The WifeBaada ya kutoka na marafiki, Hlomu anagundua ni mjazito! Akirudi nyumbani akiwa ni furaha tele anakumbana na kipigo kikali kutoka kwa Mqhele ambaye amekasirishwa na kitendo chake cha kutokurudi nyumbani na kushindwa kupokea simu Je, ujauzito huu utaweza kuleta amani au kuleta mgawanyiko mkubwa zaidi?
Fahad Akasirishwa na Munir kupewa madaraka  – JIVU Image : 2222
Fahad Akasirishwa na Munir kupewa madaraka – JIVUFamilia ya Amanzi yaanza kumpa Munir madaraka, jambo linalomkera Fahad mpaka kuchukua picha ya mdogo wake na kuivunja kwa ngumi! Mkewe anamkuta katika hali hiyo na kujaribu kumtuliza – lakini hasira za Fahad zimefika pabaya. Usikose #JIVU kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3:00 Usiku ndani ya Maisha Magic Bongo, Ch. 160.
Wake wa Nguzu Wapambana – Mpali Image : 2221
Wake wa Nguzu Wapambana – MpaliKatika msimu huu mpya wa Mpali, hali ni tete zaidi kuliko hapo awali! Wake wa Nguzu wameingia mikononi mwa watekaji hatari – lakini si rahisi kuvunja mioyo yao ya ujasiri. Kwa ustadi na mshikamano, wanapanga njia ya kujinasua huku wakikabiliana na hofu, majeraha ya kihisia na wasiwasi wa hatma zao. Je, watafanikiwa kujiokoa? Au mateso haya yatawaacha na majeraha yasiyopona?
Nicole Ataka Msaada wa Abby Kumkabili Kibibi!  – Huba Image : 2219
Nicole Ataka Msaada wa Abby Kumkabili Kibibi! – HubaNicole anaingiwa na hofu kubwa baada ya kugundua kilichojificha nyuma ya kibibi – anamhitaji Abby kumsaidia kukabiliana naye. Wakati huohuo, Nelly anaanza kuvutiwa na Ray… lakini mambo yanachukua mkondo wa kutisha pale Ray anapomtaka Abby kimabavu, huku simu ya Nicole ikipiga bila majibu. Je, Abby ataweza kusimama imara?
Heka Heka Za Birthday ya Zai! :tada: – Kitimtim Image : 2218
Heka Heka Za Birthday ya Zai! :tada: – KitimtimSherehe ya kuzaliwa kwa Zai yazua vituko na heka heka zisizoisha! Usikose vichekesho vya Kitimtim kila Ijumaa – Jumamosi saa 1:00 Usiku ndani ya Maisha Magic Bongo.
Wanamajoola Waibukia Msibani kwa Zulu Brothers! – The Wife Image : 2217
Wanamajoola Waibukia Msibani kwa Zulu Brothers! – The WifeWanamajoola wanafika kwenye msiba wa familia ya Zulu, hali inakuwa ya majonzi na msisimko. Je, msiba huu utazua amani au utachochea moto wa kisasi kati ya familia hizi mbili? Usikose drama kali ya The Wife!
Jua Kali Image : 2215
Jua KaliSimanzi zinatawala baada ya Maria kumpoteza mtoto wake, huku familia ya Frank nao wanajipanga kumueleza Frank taarifa za mtoto wake kufariki
Wake wa Nguzu Wafanikiwa Kutoroka Mikononi mwa Watekaji! – Mpali Image : 2213
Wake wa Nguzu Wafanikiwa Kutoroka Mikononi mwa Watekaji! – MpaliBaada ya mateso makali mikononi mwa watekaji, wake wa Nguzu hatimaye wanafanikiwa kutoroka! Je, uhuru huu ni wa muda tu au hatari bado inawangoja njiani? Usikose drama kali kwenye Mpali!
Ndoto ya Kutisha ya Tima, Vita ya Mali Yazidi Kuweka Moto! – Huba Image : 2210
Ndoto ya Kutisha ya Tima, Vita ya Mali Yazidi Kuweka Moto! – HubaTima anaona ndoto ya kutisha – Kibibi akimteka na kumpiga risasi mtoto wake! Lakini mambo halisi ni makubwa zaidi… Kibibi anamshawishi Mwanasheria Malaika ili kupata mali za Dev, huku vita ya urithi kati ya Ritha, Tima na Kibibi ikizidi kuwasha moto. Ni nani ataibuka mshindi kwenye vita hii kali ya mali na heshima?
Hlomu Aitaka Zulu Brothers Walipe Kisasi – The Wife Image : 2197
Hlomu Aitaka Zulu Brothers Walipe Kisasi – The WifeBaada ya vurugu kwenye harusi na mtoto kuuliwa kikatili, Hlomu haoni tena maana ya kusamehe. Akiwa amevunjika moyo na kugubikwa na hasira, sasa anaitaka familia ya Zulu Brothers kulipa kwa njia ile ile waliyoleta majonzi — kwa damu.
Amanzi Avamiwa na Genge la Zingizi – JIVU Image : 2202
Amanzi Avamiwa na Genge la Zingizi – JIVUJoto la kisasi linazidi kupanda kwenye JIVU! Amanzi anaangukia mikononi mwa genge hatari la Zingizi katika tukio la kutisha linalotia shaka juu ya hatma yake. Je, huu ni mwisho wa safari ya Amanzi au mwanzo wa kitu kikubwa zaidi? Tazama highlight hii ya kusisimua kutoka #JIVU na fuatilia kwa karibu mfululizo wa matukio yanayobeba giza, kisasi na hofu.
Wake wa Nguzu Watekwe kwa Bastola  – Mpali Image : 2200
Wake wa Nguzu Watekwe kwa Bastola – MpaliWakati wakibishana, wake wa Nguzu wanavamiwa ghafla na mtu mwenye bastola! Sasa maisha yao yapo hatarini — je, nani yuko nyuma ya utekaji huu? Tazama tukio hili la kutibua hisia kutoka #Mpali, na fuatilia drama kali zaidi kwenye Maisha Magic Bongo!
Roy Azidiwa na Pombe, Alala kwa Kibibi!? – Huba I S14 I Ep 51–53 Image : 2201
Roy Azidiwa na Pombe, Alala kwa Kibibi!? – Huba I S14 I Ep 51–53Roy anazidiwa na pombe hadi kulazimika kulala kwa Kibibi Lakini je, Kibibi anamtunza… au kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia?
Maria Anatarajia Mtoto wa Kiume – Jua Kali Image : 2199
Maria Anatarajia Mtoto wa Kiume – Jua KaliZanzibar yachangamka! Maria anapokea habari njema za ujauzito wake – na safari hii ni mtoto wa kiume! Lakini huku furaha ikitawala, maswali kuhusu hatma ya familia na mahusiano yake yanazidi kuibuka. Je, huyu mtoto ataunganisha au kuvunja kabisa kile kilichosalia?
WanaMajoola Wavamia Zulu Brothers – The Wife I S1 I Ep 23 – 24 I Maisha Magic Bongo Image : 2196
WanaMajoola Wavamia Zulu Brothers – The Wife I S1 I Ep 23 – 24 I Maisha Magic BongoMoto wa visasi sasa umefika kileleni! WanaMajoola wameshambulia moja kwa moja – bila onyo, bila huruma. Zulu Brothers wamejikuta wakikabiliana na maafa ya ghafla, huku uaminifu na dhamira vikipimwa katika sekunde chache. Ni tukio la kushangaza lililobadilisha kila kitu ndani ya The Wife. Mikono imelowa damu, na sasa hakuna kinachoweza kuwa kama awali…
Fahad  Achukizwa Munir Kuwapandishia Mishahara Wafanyakazi – Jivu I S1 I Ep 23–24IMaisha Magic Bongo Image : 2195
Fahad Achukizwa Munir Kuwapandishia Mishahara Wafanyakazi – Jivu I S1 I Ep 23–24IMaisha Magic BongoMoto wa JIVU hauzimiki! Wiki hii tumeshuhudia mvutano mkubwa kati ya Fahad na Munir, baada ya Munir kuchukua uamuzi wa kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa tembo bila kumshirikisha Fahad. Kitendo hicho kimemuudhi vibaya Fahad, ambaye anaona hatua hiyo kama kuvuruga mamlaka na heshima yake ndani ya biashara.
Tamara Amkabili Lindiwe, Nguvu Apuuza Kisa cha Mke Wake – Mpali IS5I Ep 202 – 205IMaisha Magic Bongo Image : 2193
Tamara Amkabili Lindiwe, Nguvu Apuuza Kisa cha Mke Wake – Mpali IS5I Ep 202 – 205IMaisha Magic BongoWiki hii ndani ya Mpali, hali ya sintofahamu imetanda kwenye familia ya Nguzu. Ugomvi mkubwa unalipuka kati ya Tamara na Lindiwe, kila mmoja akitaka kusimama imara — lakini je, kuna aliye tayari kuachia nafasi? Mvutano huo unazidi kuibua migogoro mipya katika familia. Wakati huo huo, Nguvu anaketi na wake zake lakini bila kujali kuwa mmoja wao hajarejea nyumbani kwa siku mbili mfululizo. Kauli yake ya kupuuza hali hiyo inawashangaza wake wenzake — na inaibua maswali mazito juu ya uaminifu na usawa katika ndoa yao ya mitala.
Nicole Avamiwa, Abby Atekwa  – Huba I S14 I Ep 48 – 50 I Maisha Magic Bongo Image : 2192
Nicole Avamiwa, Abby Atekwa – Huba I S14 I Ep 48 – 50 I Maisha Magic BongoWiki hii ndani ya Huba imetawaliwa na maumivu, mshtuko na hali ya wasiwasi. Abby ametekwa nyara, na hatma yake bado haijulikani. Kila sekunde inapita ikiwa ni mzigo kwa familia na mashabiki walioguswa na tukio hilo la kutisha. Wakati huohuo, Nicole anakumbana na mateso mitaani baada ya kuvamiwa na wahuni waliomuibia kila kitu. Amejeruhiwa na kurejea nyumbani akiwa amejaa huzuni na hofu, akamfuata Ritha akiwa amevunjika moyo kabisa.
Hii hela hupati! – Kitimtim Image : 1960
Hii hela hupati! – KitimtimMama Subi na Subi wagombana na Mzee wao juu ya pesa.
Vita Kila Kona Abby Vs Ray na Tima Vs Kibibi – HUBA