Familia ya Amanzi yaanza kumpa Munir madaraka, jambo linalomkera Fahad mpaka kuchukua picha ya mdogo wake na kuivunja kwa ngumi!
Mkewe anamkuta katika hali hiyo na kujaribu kumtuliza – lakini hasira za Fahad zimefika pabaya.
Usikose #JIVU kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3:00 Usiku ndani ya Maisha Magic Bongo, Ch. 160.