maisha magic bongo logo

Hlomu na Mimba ya Mqhele na Kichapo Juu – The Wife

Video
04 Agosti

Baada ya kutoka na marafiki, Hlomu anagundua ni mjazito! Akirudi nyumbani akiwa ni furaha tele anakumbana na kipigo kikali kutoka kwa Mqhele ambaye amekasirishwa na kitendo chake cha kutokurudi nyumbani na kushindwa kupokea simu Je, ujauzito huu utaweza kuleta amani au kuleta mgawanyiko mkubwa zaidi?