Tamthilia hii inahusu mapenzi, pesa, tamaa na uchawi. Dunia mbili tofauti zinapokutana moja kudhibitiwa na fedha na nyengine ikifunikwa na uchoyo, mapenzi yanatoa matumaini ya kuishi.
S14 | E66
18 Agosti 21:00
'S14/E66'. Tima agundua Rita ana njama ya kumnyang'anya urithi na watoto wake, Kibibi nae amemvuta Roy, akipanga kurejes...