ima yuko njia panda – hamu yake ya kuwapata watoto wake inampeleka kwa Ritha, akimdai majibu. Lakini mambo yanazidi kuwa moto anapojikuta akitaka kumvamia Kibibi kwa hasira. Je, juhudi zake zitazaa matunda au zitamsukuma zaidi katika machungu? Usikose Huba ndani ya Maisha Magic Bongo!