maisha magic bongo logo

Mqhele Aomba Msamaha – The Wife

Video
12 Agosti

Baada ya sintofahamu na hasira zilizompelekea Mqhele kumpiga Hlomu, sasa amegundua kosa lake na kuamua kuomba msamaha. Lakini je, msamaha wake unatosha kurejesha imani ya Hlomu? Ni wakati wa kutafakari, kusamehe... au kuondoka?