Baada ya misukosuko na mipango ya siri, wake wa Nguvu hatimaye wamefanikiwa kutoroka na kurudi nyumbani salama! Lakini furaha hii ni mwanzo wa changamoto mpya – je, Nguvu ataacha mambo yaende hivi au atakuja na mpango mkali wa kulipiza? Usikose Mpali ndani ya Maisha Magic Bongo!