Wiki Hii Kwenye Huba - Huba I S14 I Ep 36 - 38 I Maisha Magic Bongo
Video
12 Juni
Mambo ni mengi yametokea kwenye Huba wiki hii, Kama ulipitwa tumekukusanyia matukio yote makubwa yaliyotikisa ndani ya Huba. Kumbuka marudio ni kila jumamosi 10:30 Jioni ndani ya Maisha Magic Bongo.