channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Habari ya hivi karibuni

Season 1
Season 1
Sababu za watanzania kuvutiwa na tamthilia za kituruki-My Name is FarahKatika miaka ya hivi karibuni, tamthilia za kituruki zimejipatia maarufu mkubwa nchini Tanzania. Kila wiki, maelfu ya Watanzania wanajiunga na kuangalia tamthilia kama My Name is Farah, ambapo wahusika wake na hadithi zao zimewavutia wengi.
My Name is Farah
"My Name is Farah" yawafurahisha watazamaji wa Afrika MasharikiTelenovela mpya kutoka Uturuki, "My Name is Farah," imezidi kuwavutia watazamaji wa Afrika Mashariki kwa hadithi yake yenye kusisimua na wahusika wanaovutia.
Kitimtim Yazoa Tuzo
Kitimtim Yashinda Tuzo Kubwa!Tasnia ya vichekesho Tanzania ilishuhudia usiku wa sherehe na kutambuliwa wikendi iliyopita katika Tuzo za Vichekesho Tanzania(Tanzania Comedy Awards) zilizofanyika Februari 23, jijini Dar es Salaam.
Asumanii Vibes Image
DJ Ally B analeta vibe kali kupitia Asumanii VibesKuna haja ya mapumziko baada ya siku nzima ya mishemishe, na sisi kama Maisha Magic Bongo tunatambua hilo na ndio maana tunakuletea burudani inayonoga kupitia Asumanii Vibes : kipindi cha Muziki kinachoeendeshwa na Mkali wa MaDjs ; DJ Ally B almarufu Asumaniiiiiiiiiii.
MMB_tuzozatamthilia_article_image_2024
Tuzo za Tamthilia Tanzania zimefika Nyumbani Tuzo za Tamthilia Tanzania kwa mara ya kwanza limefika Nyumbani , Tanzania kwa lengo la kutambua na kueneza mchango wa wadau, jitihada zilizofanywa na wasanii na mnyororo wa wahusika wote katika kufanikisha tamthilia
Tufani limetikisika, Gharika hili hapa
Tufani limetikisika Gharika hili hapa Maisha Magic Bongo na tamthilia ya kusisimua ya Gharika, inayokuja hewani Kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku, fuatilia simulizi lenye mikiki mikiki, wanafunzi marafiki wenye ndoto kubwa wanajikuta katika misukosuko baada ya kushuhudia mengi.
Tesa of Huba
Buriani Tesa, daima mioyoni wetuTasnia ya burudani nchini imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha mwigizaji maarafu, Grace Mapunda, al maarufu Tesa ambae alikua akicheza katika tamthilia maarufu ya Huba. Mama yetu Grace Mapunda umauti ulimkuta tarehe 2 Novemba 2024 katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Kaa nyumbani wakati wa mvua ukitumia Maisha Magic Bongo

Yajayo

Leo
Kesho
Jumapili
Jumatatu