channel logo dark
jua kali, slim billboard, web uni
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

muhula

7

6

5

4

Habari ya hivi karibuni

Season 1
Season 1
"The Makeover" Kabumbu la brush na powder Kuanzia Aprili 25, usikose safari hii ya kusisimua ya washiriki na timu ya wataalamu wakiongozwa na Annie Independent, Jacqueline Wolper, Martin Kadinda na Alma.
Season 1
Kaa nyumbani wakati wa mvua ukitumia Maisha Magic Bongo Msimu huu wa mvua, jifunike vizuri na ufurahie season finale za tamthilia kali—Gharika na Yolanda—kwenye Maisha Magic Bongo, DStv Channel 160. Je, haki itashinda ndani ya Gharika au wahusika watazama kwenye mafuriko ya hatima zao? Na Yolanda, ataweza kujinasua au njama zitamzamisha? Usikose! Nje kunanyesha na kuna kibaridi, lakini ndani kuna hadithi zenye joto la burudani isiyo na kifani!
Season 1
Sababu za watanzania kuvutiwa na tamthilia za kituruki-My Name is FarahKatika miaka ya hivi karibuni, tamthilia za kituruki zimejipatia maarufu mkubwa nchini Tanzania. Kila wiki, maelfu ya Watanzania wanajiunga na kuangalia tamthilia kama My Name is Farah, ambapo wahusika wake na hadithi zao zimewavutia wengi.
My Name is Farah
"My Name is Farah" yawafurahisha watazamaji wa Afrika MasharikiTelenovela mpya kutoka Uturuki, "My Name is Farah," imezidi kuwavutia watazamaji wa Afrika Mashariki kwa hadithi yake yenye kusisimua na wahusika wanaovutia.
Kitimtim Yazoa Tuzo
Kitimtim Yashinda Tuzo Kubwa!Tasnia ya vichekesho Tanzania ilishuhudia usiku wa sherehe na kutambuliwa wikendi iliyopita katika Tuzo za Vichekesho Tanzania(Tanzania Comedy Awards) zilizofanyika Februari 23, jijini Dar es Salaam.
Asumanii Vibes Image
DJ Ally B analeta vibe kali kupitia Asumanii VibesKuna haja ya mapumziko baada ya siku nzima ya mishemishe, na sisi kama Maisha Magic Bongo tunatambua hilo na ndio maana tunakuletea burudani inayonoga kupitia Asumanii Vibes : kipindi cha Muziki kinachoeendeshwa na Mkali wa MaDjs ; DJ Ally B almarufu Asumaniiiiiiiiiii.
MMB_tuzozatamthilia_article_image_2024
Tuzo za Tamthilia Tanzania zimefika Nyumbani Tuzo za Tamthilia Tanzania kwa mara ya kwanza limefika Nyumbani , Tanzania kwa lengo la kutambua na kueneza mchango wa wadau, jitihada zilizofanywa na wasanii na mnyororo wa wahusika wote katika kufanikisha tamthilia
Tamthilia uliyochochea hisia na mawazo ya watazamaji - Gharika

Yajayo

Leo
Jumamosi
Jumapili
Jumatatu