Lindiwe amvaa Tamara kuhusu mtoto – Mpali I S5 I Ep 187–190 I Maisha Magic BongoLindiwe anazidiwa na hasira baada ya kuhisi Tamara anampokonya nafasi yake kama mama. Mzozo wao unafikia kilele hadi kupigana, jambo linaloibua maswali mazito kuhusu uhusiano wa wake wa Nguzu na hali ya malezi shambani. Je, Nguzu ataingilia kati au hali itazidi kuwa mbaya?