maisha magic bongo logo

Tamati ya Safari Yetu – ICU

Video
13 Agosti

Baada ya safari ndefu iliyojaa umbea wa moto, vicheko, drama, na maswali mengi – hatimaye tumefika mwisho wa ICU. Tunawashukuru kwa kutazama, kuchangia, na kuzungumza nasi kila wiki. Kila tukio limekuwa la kipekee kwa sababu yenu. Tazama video ya kwaheri tukikumbuka tulipotoka hadi tulipoishia! #MMBICU #FarewellPost