Ozan anafikia hatua ya kumkataa baba yake kabisa baada ya kuhisi kusalitiwa! Anamvaa kwa hasira na kumtuhumu kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na Gulsereen. Hali inazidi kuwa ngumu ndani ya familia hii iliyovunjika vipande vipande. Je, uhusiano huu wa baba na mwana utaweza kuokolewa?
Tazama Broken Pieces S1 Ep 16–19 ndani ya Maisha Magic Bongo!