Tima Ashauriwa Namna ya Kukabiliana na Ritha – Huba
Video
04 Agosti
Hali inazidi kuwa tete! :flushed:
Tima anapata ushauri wa namna ya kumkabili Ritha… lakini je, atakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua?
Tazama #Huba kila Jumatatu hadi Jumatano saa 3:00 Usiku ndani ya Maisha Magic Bongo, Ch. 160.