Vita ya Gulsereen na Shangazi yake Hazel – Broken Pieces
Video
28 Julai
Gulsereen anakabiliana na Shangazi yake Hazel juu ya hatma ya Hazel kama aondoke kwenda kwa baba ake halisi au aendelee kukaa nao. Mzozo huu unaibua hisia kali na siri mpya ndani ya familia.
Usikose drama nzito ya Broken Pieces!