maisha magic bongo logo

Tima Anataka Kumpiga Kibibi – Huba

Video
13 Agosti

Moto unawaka kwenye Huba! Tima anakasirika sana na anataka kumpiga Kibibi, lakini Roy anatokea na kuzuia mzozo huo mkali kabla haujapelekea madhara zaidi. Je, mzozo huu utaishaje? Usikose Huba ndani ya Maisha Magic Bongo!