Zanzibar yachangamka! Maria anapokea habari njema za ujauzito wake – na safari hii ni mtoto wa kiume! Lakini huku furaha ikitawala, maswali kuhusu hatma ya familia na mahusiano yake yanazidi kuibuka.
Je, huyu mtoto ataunganisha au kuvunja kabisa kile kilichosalia?