Moto wa JIVU hauzimiki!
Wiki hii tumeshuhudia mvutano mkubwa kati ya Fahad na Munir, baada ya Munir kuchukua uamuzi wa kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa tembo bila kumshirikisha Fahad.
Kitendo hicho kimemuudhi vibaya Fahad, ambaye anaona hatua hiyo kama kuvuruga mamlaka na heshima yake ndani ya biashara.