maisha magic bongo logo

Kikao Cha Moto Kwa Tima Bila Ritha!? – Huba

Video
25 Julai

Tima ameitisha kikao cha familia – Kibibi yupo tayari kwa majibu, lakini Ritha ndiye anasubiriwa na hajatokea! Je, ni hofu ya vita ya mali au kuna kitu kikubwa kinachoendelea nyuma ya pazia? Usikose drama kamili kwenye Huba!