Wake wa Nguzu Watoroka Mikononi mwa Watekaji! – Mpali
Video
25 Julai
Baada ya kupitia mateso na hofu kubwa, wake wa Nguzu wanafanikiwa kutoroka mikononi mwa watekaji!
Lakini je, safari yao ya uhuru itakuwa salama au hatari mpya inawangoja njiani?
Usikose drama kamili ya Mpali!