Tima anazidi kuzama kwenye dimbwi la mawazo…
Je, kuna mtu mwingine anayejua kuwa Dave alimtaliki? :exploding_head:
Ukimya unaomuandama unamsukuma kuchunguza kila neno na kila macho anayokutana nayo.
Wakati huo huo, Ray na Abby wanaendelea na mvutano wao wa hadharani — hali inayomletea Tima mkanganyiko zaidi.
Je, ataendelea kuvumilia presha ya mapenzi na hofu ya aibu ya talaka?