Mpungwe anacharuka baada ya kugundua kuwa Mchuma amempa ujauzito dada yake Ajuaje – ugomvi mkubwa wazuka kati yao. Wakati huo huo, Chema anazidi kuvunjika moyo akimuona mumewe, Mzee Amanzi, akipoteza fahamu na kupooza. Hali ni tete, hisia ni nzito. Endelea kufuatilia JIVU ndani ya Maisha Magic Bongo!