Baada ya kutoka na marafiki, Hlomu anagundua ni mjazito! Akirudi nyumbani akiwa ni furaha tele anakumbana na kipigo kikali kutoka kwa Mqhele ambaye amekasirishwa na kitendo chake cha kutokurudi nyumbani na kushindwa kupokea simu
Je, ujauzito huu utaweza kuleta amani au kuleta mgawanyiko mkubwa zaidi?