DJ Ally B analeta vibe kali kupitia Asumanii VibesKuna haja ya mapumziko baada ya siku nzima ya mishemishe, na sisi kama Maisha Magic Bongo tunatambua hilo na ndio maana tunakuletea burudani inayonoga kupitia Asumanii Vibes : kipindi cha Muziki kinachoeendeshwa na Mkali wa MaDjs ; DJ Ally B almarufu Asumaniiiiiiiiiii.