maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Tesa amerudi – Huba

Video
21 Mei

Kashaulo apata kazi kwa Kibibi na Sidi hataki kwasababu inabidi aishi nyumbani kwake. Bi Kisitu amapata Sada kwa njia ya moyo wake. Jude amfukuza kazi Nicole kisa, ana kutana na Kobe. Hatimaye Yakubu akutana na Roy na Tesa amkaribisha Kobe fanya biashara.