maisha magic bongo logo
MMB PaziaSM TwitterCover
maisha magic bongo logo

Pazia

160Tamthilia13

Jemo atiwa jela – Pazia

Video
05 Mei

Roommate wa Brenda adai kumtaka Ben na Jemo amwambia Dk Love kwamba Fred ni mnafiki. Wakati Jemo atiwa jela na anahitajinpesa. Edu anataka kujua ujauzito ni wanani na kama mtoto sio wake anataka kumuacha Regina. Gloria ajifunza jina la baba yake na Ben anatakujua Fred ni nani.