maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Unaweza kunioa tena? – Huba

Video
30 Aprili

Doris ataka kumvisha pete Roy. Devi na Kibibi wazidi kupigana wakati Sidi anataka Kashaulo aondoke. Sada amfukuza Nandy, na Yakubu ajisimamia. Bi Sikitu ajaribu kumloga Yakubu lakini Sada aona. Hatimaye Roy amvisha pete Doris na Kibibi akutana na Chidi.