Wake wa Nguzu Wafanikiwa Kutoroka Mikononi mwa Watekaji! – Mpali
Video
25 Julai
Baada ya mateso makali mikononi mwa watekaji, wake wa Nguzu hatimaye wanafanikiwa kutoroka!
Je, uhuru huu ni wa muda tu au hatari bado inawangoja njiani? Usikose drama kali kwenye Mpali!