Tima anaona ndoto ya kutisha – Kibibi akimteka na kumpiga risasi mtoto wake! Lakini mambo halisi ni makubwa zaidi…
Kibibi anamshawishi Mwanasheria Malaika ili kupata mali za Dev, huku vita ya urithi kati ya Ritha, Tima na Kibibi ikizidi kuwasha moto.
Ni nani ataibuka mshindi kwenye vita hii kali ya mali na heshima?