maisha magic bongo logo
kapuni
maisha magic bongo logo

Kapuni

160DramaPG13

Samabaza jina

Uchungu wa mapenzi – Kapuni

00:04:43
Robert anaenda sambamba na Brown , Ofisini Moto Jordan, Paul na Joyce mambo hayaeleweki Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.John amegoma kazi.
Uchungu wa mapenzi – Kapuni Image : 1068

Vipindi Zaidi

Tamthilia Zetu on Maisha Magic Bongo

Hlomu Aitaka Zulu Brothers Walipe Kisasi – The Wife Image : 2197
Amanzi Avamiwa na Genge la Zingizi – JIVU Image : 2202
Amanzi Avamiwa na Genge la Zingizi – JIVUJoto la kisasi linazidi kupanda kwenye JIVU! Amanzi anaangukia mikononi mwa genge hatari la Zingizi katika tukio la kutisha linalotia shaka juu ya hatma yake. Je, huu ni mwisho wa safari ya Amanzi au mwanzo wa kitu kikubwa zaidi? Tazama highlight hii ya kusisimua kutoka #JIVU na fuatilia kwa karibu mfululizo wa matukio yanayobeba giza, kisasi na hofu.
Wake wa Nguzu Watekwe kwa Bastola  – Mpali Image : 2200
Wake wa Nguzu Watekwe kwa Bastola – MpaliWakati wakibishana, wake wa Nguzu wanavamiwa ghafla na mtu mwenye bastola! Sasa maisha yao yapo hatarini — je, nani yuko nyuma ya utekaji huu? Tazama tukio hili la kutibua hisia kutoka #Mpali, na fuatilia drama kali zaidi kwenye Maisha Magic Bongo!
Roy Azidiwa na Pombe, Alala kwa Kibibi!? – Huba I S14 I Ep 51–53 Image : 2201
Roy Azidiwa na Pombe, Alala kwa Kibibi!? – Huba I S14 I Ep 51–53Roy anazidiwa na pombe hadi kulazimika kulala kwa Kibibi Lakini je, Kibibi anamtunza… au kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia?
Maria Anatarajia Mtoto wa Kiume – Jua Kali Image : 2199
Maria Anatarajia Mtoto wa Kiume – Jua KaliZanzibar yachangamka! Maria anapokea habari njema za ujauzito wake – na safari hii ni mtoto wa kiume! Lakini huku furaha ikitawala, maswali kuhusu hatma ya familia na mahusiano yake yanazidi kuibuka. Je, huyu mtoto ataunganisha au kuvunja kabisa kile kilichosalia?
WanaMajoola Wavamia Zulu Brothers – The Wife I S1 I Ep 23 – 24 I Maisha Magic Bongo Image : 2196
WanaMajoola Wavamia Zulu Brothers – The Wife I S1 I Ep 23 – 24 I Maisha Magic BongoMoto wa visasi sasa umefika kileleni! WanaMajoola wameshambulia moja kwa moja – bila onyo, bila huruma. Zulu Brothers wamejikuta wakikabiliana na maafa ya ghafla, huku uaminifu na dhamira vikipimwa katika sekunde chache. Ni tukio la kushangaza lililobadilisha kila kitu ndani ya The Wife. Mikono imelowa damu, na sasa hakuna kinachoweza kuwa kama awali…
Fahad  Achukizwa Munir Kuwapandishia Mishahara Wafanyakazi – Jivu I S1 I Ep 23–24IMaisha Magic Bongo Image : 2195
Fahad Achukizwa Munir Kuwapandishia Mishahara Wafanyakazi – Jivu I S1 I Ep 23–24IMaisha Magic BongoMoto wa JIVU hauzimiki! Wiki hii tumeshuhudia mvutano mkubwa kati ya Fahad na Munir, baada ya Munir kuchukua uamuzi wa kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa tembo bila kumshirikisha Fahad. Kitendo hicho kimemuudhi vibaya Fahad, ambaye anaona hatua hiyo kama kuvuruga mamlaka na heshima yake ndani ya biashara.
Tamara Amkabili Lindiwe, Nguvu Apuuza Kisa cha Mke Wake – Mpali IS5I Ep 202 – 205IMaisha Magic Bongo Image : 2193
Tamara Amkabili Lindiwe, Nguvu Apuuza Kisa cha Mke Wake – Mpali IS5I Ep 202 – 205IMaisha Magic BongoWiki hii ndani ya Mpali, hali ya sintofahamu imetanda kwenye familia ya Nguzu. Ugomvi mkubwa unalipuka kati ya Tamara na Lindiwe, kila mmoja akitaka kusimama imara — lakini je, kuna aliye tayari kuachia nafasi? Mvutano huo unazidi kuibua migogoro mipya katika familia. Wakati huo huo, Nguvu anaketi na wake zake lakini bila kujali kuwa mmoja wao hajarejea nyumbani kwa siku mbili mfululizo. Kauli yake ya kupuuza hali hiyo inawashangaza wake wenzake — na inaibua maswali mazito juu ya uaminifu na usawa katika ndoa yao ya mitala.
Nicole Avamiwa, Abby Atekwa  – Huba I S14 I Ep 48 – 50 I Maisha Magic Bongo Image : 2192
Nicole Avamiwa, Abby Atekwa – Huba I S14 I Ep 48 – 50 I Maisha Magic BongoWiki hii ndani ya Huba imetawaliwa na maumivu, mshtuko na hali ya wasiwasi. Abby ametekwa nyara, na hatma yake bado haijulikani. Kila sekunde inapita ikiwa ni mzigo kwa familia na mashabiki walioguswa na tukio hilo la kutisha. Wakati huohuo, Nicole anakumbana na mateso mitaani baada ya kuvamiwa na wahuni waliomuibia kila kitu. Amejeruhiwa na kurejea nyumbani akiwa amejaa huzuni na hofu, akamfuata Ritha akiwa amevunjika moyo kabisa.
Hii hela hupati! – Kitimtim Image : 1960
Hii hela hupati! – KitimtimMama Subi na Subi wagombana na Mzee wao juu ya pesa.
Apollo akutana na mama yake! – Dosari Image : 1942
Apollo akutana na mama yake! – DosariApollo ana maswali kuhusu mama yake, na mfanyakazi wa nyumbani kwa Queen aonywa kuhusu jiko lake.
Oya we pisi kali!– Kitimtim Image : 1941
Oya we pisi kali!– KitimtimSubi amuingiza Zunde kwenye mtego.
Nelly arudi nyumbani – Huba Image : 1940
Nelly arudi nyumbani – HubaNelly arudi nyumbani na Kibibi amtaka Monica arudi na Nicole hana muda na Devi.
Kampuni ya filisika – Dosari Image : 1938
Kampuni ya filisika – DosariQueen ataka kujua muongozo wa kampuni na Bwana Shamta.
Ndoa ya Anna na Diba - Jua Kali Image : 1939
Ndoa ya Anna na Diba - Jua KaliThomas aja kwa Maria kumuuliza anachotaka baada ya kugundua ukweli. Diba na Anna wafunga ndoa
Naomi agundua siri za Adrian - Nuru Image : 1937
Naomi agundua siri za Adrian - NuruNaomi agundua kwamba Ronald ndiye mrithi wa mali za baba yake baada ya Mzee Andrew kugundua kwamba siye mtoto wake na Ritha aachana na John.
Tupate hela! – Kitimtim Image : 1936
Tupate hela! – KitimtimPili na mama yake watafuta mbinu ya kupata hela kutoka kwa Zunde
Eva na Bill wapata majibu ya vipimo- Jua Kali Image : 1934
Eva na Bill wapata majibu ya vipimo- Jua KaliTony amuomba Maria arudi nae Kenya na Bill na Eva wapata majibu ya vipimo
Nani muuaji? – Dosari Image : 1932
Nani muuaji? – DosariMalik agundua ukweli kuhusu mama yake na Zuri ataka kujua kuhusu hali ya baba yake.
Mapenzi yananitesa! Nuru Image : 1933
Mapenzi yananitesa! NuruBaada ya Alice kumuacha, John arudi kwa bibi yake na Doreen amwambia Adrian kwamba ana mimba yake na Mzee Andrew ataka kujua Ronald yupo wapi.
Utavuna ulivyopanda! - Huba Image : 1935
Utavuna ulivyopanda! - HubaTima apigana tena Happy baada ya kumuita muuaji. Tesa amwambia Fabrizio asimfuatilia.
Davis amtaka Maria- Jua Kali Image : 1930
Davis amtaka Maria- Jua KaliDavis aanza ukaribu na Maria mbele ya wafanyakazi wenzaka na Frank aishia kumtambulisha Maria rasmi.
Queen agombana na Nuru – Dosari Image : 1926
Queen agombana na Nuru – DosariQueen apigana na Nuru, mke wa kwanza wa Amari.
Ronald akataa kumuomba Mzee Andrew msamaha – Nuru Image : 1929
Ronald akataa kumuomba Mzee Andrew msamaha – NuruRitha mabwambia Ronald amuombe msamaha Mr Andrew lakini akataa, na John aja kumfuata Alice.
Hlomu Aitaka Zulu Brothers Walipe Kisasi – The Wife