maisha magic bongo logo

Bi Kizela Apambania Penzi Lake – Jivu

Video
13 Agosti

Bi Kizela anafanya kila awezalo kumfurahisha mume wake, lakini kila hatua inaonekana kugonga mwamba! Je, mapenzi yake ya dhati yatawahi kulipwa au anajipotezea muda? Usikose Jivu ndani ya Maisha Magic Bongo!