maisha magic bongo logo

Vita ya Gulsereen na Shangazi yake Hazel – Broken Pieces

Video
28 Julai

Gulsereen anakabiliana na Shangazi yake Hazel juu ya hatma ya Hazel kama aondoke kwenda kwa baba ake halisi au aendelee kukaa nao. Mzozo huu unaibua hisia kali na siri mpya ndani ya familia. Usikose drama nzito ya Broken Pieces!