channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Daah! Anna Mikononi mwa Diba - Jua Kali

Video
23 Machi

Patrick amuandama Regina kwa kurudi nyumbani usiku akiambatana na Enzo. Anajaribu kumpiga ila Enzo aingilia kati. Vilevile, Anna yupo mikononi mwa Diba na mambo yanaoneka sio mazuri.