maisha magic bongo logo

Balaa! Nashpai Nyumbani kwa Bi. Sikukuu - Jiya

Video
20 Machi

Nashpai afika nyumbani kwa Bi. Sikukuu na kumpa kichambo kwa mali aliyonayo kutoka kwa Chifu. Aidha, Jiya ana mazungumzo na Senteu kuhusiana na uhusiano wake na Sanjeet.