channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Tima katimua kila mtu – Huba

Video
27 Decemba

Wiki hii kwenye Huba, Stano kambulia vibao kutoka kwa Tesa, Rani kakubali kushirikiana na Stano, Doris anazidi kumkomesha Roy, Tima katimua kila mtu kwake na Jude anajiandaa kujisuprise mwenyewe.