channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Roy apigwa – Huba

Video
11 Juni

Sada aamuka akiwa anajihisi vibaya na amdai Fabrizo kurudi nyumbani. Roy arudi nyumbani na uso uliobimba na Doris anataka kujua ni nini kilichotokea. Devi aendelea kuwa na maswali kuhusu Kibibi na Sada ataka kumfukuza Nandy tena.