channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Devi yupo katikati ya Kibibi na Tesa–Huba

Video
28 Aprili

Kibibi aamua kuwapa Tima na Jude kazi ndani ya hoteli yake. Devi ijikuta kati ya ugomvi wa Kibibi na Tesa na Nelly agundua kwamba wazazi wake wamerudiana. Fabrizio amkamata Monica mbele ya Kibibi.