maisha magic bongo logo

Mandisa Amchana Hlomu Live! – Afichua Siri za Ex wa Mqhele–The Wife

Video
06 Julai

Familia ya Majoola haiko tayari kuruhusu Zulu brothers kurudi kijijini! Mapambano ya heshima na msimamo yanaibuka, huku wazee wakiteta vikali dhidi ya urejeo wa ndugu hao waliotikisa historia ya kijiji. Wakati huo huo, Mqhele na mdogo wake Qwese wanaweka tofauti zao kando – ni moment ya nadra ya maridhiano ya kindugu ambayo kila mtu alikuwa akisubiri. Lakini kama kawaida ya Mandisa... hali ya hewa inachafuka ghafla! Anamvamia Hlomu kwa maneno mazito kuhusu ex wa Mqhele — na si tu ex, bali mmoja wao ana ujauzito! :flushed: