maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Mtoko wa chakula cha Usiku wazua Balaa – Huba

Video
03 Julai

Familia imekaa mezani kwa chakula cha usiku –Kila kitu kinaonekana shwari, hadi bili inapokuja na kugundulika kwamba tayari imelipwa. Cha kushangaza zaidi? Aliyelipa ni Nicole – mpenzi wa zamani wa Abby! :flushed: Mzuka unapanda, macho yanageuka, na kila mtu anabaki kinywa wazi. Inakuaje Nicole alipe bila wao kujua? Wakati wote wakifikiri ni kwa ajili ya Abby, ukweli unadhihirika: Nicole alilipa bili kwa ajili ya Ray! Vita kati ya Ray na Abby sasa imechukua sura mpya. Je, Nicole anarudi kwenye maisha ya Ray? Na Abby atavumilia matusi ya kihisia mbele ya familia yake?