maisha magic bongo logo
maisha magic bongo logo

Broken Pieces

160TelenovelaPG13

Broken Pieces

Video
08 Julai

Broken Pieces ni tamthilia mpya ya kusisimua inayofuatilia maisha ya Cansu na Hazal – wasichana waliobadilishiwa wakati wa kuzaliwa. Wameishi maisha ya uongo, bila kujua… hadi sasa. Kwa upande mmoja yupo Gulseren, mama wa kawaida aliyejitoa kwa mapenzi ya kweli. Kwa upande mwingine yupo Dilara, mama tajiri aliyelelewa kwenye misingi ya heshima na mamlaka. Siri hii inapovuja, migogoro, majuto na maamuzi magumu yanatishia kuvunja kila kitu vipande vipande.